World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Ndiego Costa gundu tu sijapenda hata ujio wake chelsea
 
Chile lazima washinde.
chile anashinda,halafu spain anamfunga Australi,kisha Spain anadraw kwa Chile,hapo chile akifungwa na uholanzi au wakadraw kazi ya Spain kwenda robo itakuwa imeota mbawa
 
Death of tiki-taka has just been confirmed!!!!
Birth of clinical counter attacking football!!
 
Si ajabu mpira uwanjani sio historia watu wanabadika kila siku walizidiwa tu.
 
chile anashinda,halafu spain anamfunga Australi,kisha Spain anadraw kwa Chile,hapo chile akifungwa na uholanzi au wakadraw kazi ya Spain kwenda robo itakuwa imeota mbawa

Spain leo sijui ilikuaje kwa kwel me nahisi wameingia na dharau na defence yao imezorotaaaa
 
Soka lina furaha na huzuni pia. Lakini hiki walichofanya leo Uholanzi ni udhalilishaji. Magoli 5-1 tena unamfunga bingwa mtetezi? Dah sijui kambini kwao kutakuwaje. Casilas mpaka anaingia kaburini hatamsahau Ajern Robben. Amemtesa sana leo, amemfanya awe flop of the mech. Amemdhalilisha akishikiana na RVP. Naamini kwa hawezi kupata tena nafasi ya kukaa tena golini kwa mechi zilizobakia. Pole gutierez
 
Last edited by a moderator:
chile anashinda,halafu spain anamfunga Australi,kisha Spain anadraw kwa Chile,hapo chile akifungwa na uholanzi au wakadraw kazi ya Spain kwenda robo itakuwa imeota mbawa
Viol hili kundi gumu kama la Ghana.....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom