Mpira unachezwa graundini,wewe unacheza mdomoni
Nıpo kaka dua za mwıshoo#team brazıl
Umebadili NIA?
Dah..hapa sioni timu ya kuizuia Uholanzi isiondoke na hili kombe mwaka huu
hiki kikosi cha scolari hovyo kabisaa hamna kitu hapa.
Neymar anaremba sana...