World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Mpira unachezwa graundini,wewe unacheza mdomoni

LOL Wapenzi wa Brazil makoo yamewakauka. Mpira unachezwa uwanjani wote tunaona jinsi maji yalivyowafikia kooni Brazil wako. Ni mchezo tu mkuu, kama uli bet ushindi kwa Brazil jaribu kutafuta some Overtime kazini ili urudishe pesa ulizobet.LOL
 
dakika hizi jamani hazina mwenyewe...atakae fungwa mawanzo mwenzie atakuwa km Morinho...ni "kupaki basi tu"!
 
Nıpo kaka dua za mwıshoo#team brazıl

we bwana nakusifu sana na una moyo mgumu! Wenzako wote wamejificha umebaki wewe tu hadi mtakapopata ushindi kama mtabebwa ndipo watajitokeza kwa fujo
 
Mambo sio mazuri. Madame el Presidente.
BrPC6C6CEAAmmk9.jpg:large

farkhina mpe binkubwa wanja autake radhi uso atiiiii!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom