ile brazil ya kina dunga,roberto calos,de lima,rivaldo siioni tena miaka hii.
noma sana #teambrasil
saaaasa je!
mpk kombe liishe nahs ntakuwa nshapata gouts!
Webb akiendeleza form aliyoionyesha World Cup hii katika EPL atakuwa refa mzuri hasa akiwa macho Old Trafford.
kweli kabisa angalia enzi za akina ronadinyo, rivaldo na ronado
Webb akiendeleza form aliyoionyesha World Cup hii katika EPL atakuwa refa mzuri hasa akiwa macho Old Trafford.
mliambiwa tangu mchana mkapuuzia sasa presha zinapanda
brazil wanaacheza vizur sana, hili kombe ni lao
mashabiki wa brazil uwanjani wametulia kaa wamemwagiwa maji...
Leo ni leo..