World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Brazil wanacheza kama ndama aliydekosa maji machungoni so anavamia kila ndoo mbele yake
 
Ndoto za Chile zinaweza kutimia kwenye penalti tu, maana kazi waliyonayo ni kuona wamevuka extra time. Wemezidiwaa!
 
Hivi kuna kocha aliyewahi kulibeba hili kombe mara mbili? Je Scolari anaweza kuwa wa kwanza au ndo ataendeleza?
 
Dah invicible muda wa BAN umeisha tayari
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom