Mdogo wangu ni mshabiki wa Man u yaani kafurahi mno, lakini ni kwa sababuMdogo wangu karudi analia eti ameliwa kwenye bettii.ng,,,,,,
wapo kundi moja,chile anacheza usiku huu akimfunga australia basi spain walie tu,kazi wanayo kubwaKwani Spain ana kutana na chile second round?
Kiukweli refa anamaono ya mbali sana hongera zake kwa kuwapa penati bila hivyo del bosque angejiua
wapo kundi moja,chile anacheza usiku huu akimfunga australia basi spain walie tu,kazi wanayo kubwa
Mpe pole! sio yeye tu, wengi wamempa faida muhindi, weng waliipa ushindi Spain!
Friday the 13th for the Amigos....
Yap nimehakiki ndugu. Shennji sana hawa
kwa kiwango cha leo alichokionesha rooben uzee mwisho kwa madiba brazil kila mchezaji kama neymar vile
nimeliona hilo mkuu ile kichwa ni balaaGoli bora ni la RVP!
Kwa kipigo hiki dear ....mbona pozi zimeisha!!!!Duhhh Nina Imani watajipanga upya. Hawawezi kukubali hii aibu
spain walikua hovyo nyuma nadhani. kocha pia alifanya maamuz ya ovyo kumtoa alonso..alonso yuko vasatile sio kma akina silver.silver ni winning team player kwa dituation ya leo nadhani arteta alistahili kuitwa he would do smthng.othrwse akina xavi na iniesta wameshiriki kuandika hitoria zao binafsi na sio ushindi kwa team..bt spain watapita kwenye kundi naamin hyo..Imefika wakati astaafu amuache de gea langoni
Siku hizi record haziji rudii tenaa!!
nimeliona hilo mkuu ile kichwa ni balaa