World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Ule utabiri wako umeota mbawa,vipi Colombia na Uruguayi,nani atakutana na Brasil robo fainali?haya twende kazi ya utabili

Huyu jamaa alinitia presha sana yaani kidogo nilie mie maana kila saa ananikumbusha kuwa nina BAN ya miezi Saba
 
Vipi kina Baloteli walishatua Rome?
 
Reactions: BAK
Nilikuwa mamii, ila nilikuwa nacheck mchezo kiumakini, presha ilikuwa kubwa sana. Now ni kusheherekea ushindi tu, mdogo mdogo mpaka mpaka kombe libaki tuwe na hope tu.

Nilikuwa nakuona kwenye background ukiumia
Mimi nilikuwa naumia sana ila am Happy now
 
Reactions: BAK
Ule utabiri wako umeota mbawa,vipi Colombia na Uruguayi,nani atakutana na Brasil robo fainali?haya twende kazi ya utabili

Brazil hupumua wakiwa na timu shindani toka mabara mengine, lakini hizi za bara la Amerika wanavyoijua na kuichambua Brazil inashindia bahati tu. Kumbuka leo Brazil walianza na mfumo wa pasi ndefu ili kuchanganya kasi ya vijana wa Chile, lakini Wachile waliposoma mchezo huo Brazil wakapoteana. Nguvu ya Brazil ikarudi walipobadilisha mchezo wa kutumia pasi fupifupi ndicho kiliwaletea uhai vinginevyo wangetolea katika stage ya best 16.

Kumbuka katika makundi Brazil ilitolewa kamasi na Mexico kwa kugawana point, wasipokuwa makini watakuwa watazamaji katika nusu na fainali.
 

Chile walikuwa wanategemea sana sana penalties ndio maana walikuwa wanarudi nyuma sana.
Extra time ndio walirudi sana nyuma
 
Huyu jamaa alinitia presha sana yaani kidogo nilie mie maana kila saa ananikumbusha kuwa nina BAN ya miezi Saba
Washukuru Neymar na Ceser,la sivyoooo ungepewa sabatical leave hivi hivi,mara ya pili usirudie
 
Hahahahahahaha lol!!!! Hata mie nilikuwa natafakari hilo, ngoja tusubiri waje kujibu wenyewe lol!!!! Eti farkhina, Bantu lady na Victoire mlikuwa mnaminya nini ili Chile wakose penalties zao? lol!!!! Hii experience ya kuangalia kandanda huku umo ndani ya JF bomba sana.

Mkuu hali ilikuwa mbaya sana..... hao ni akinababa je akinamama waliminya nini?
 
Last edited by a moderator:


Nadhanhuwatendei haki unaposema hawakua na kitu zaidi ya kupaki basi. Timu ilikua nyuma halafu ikasawazisha, wangepaki basi wasingesaazisha. Bado muishoni tumeona wakishambulia lango la brazil mpaka kugongesha mwamba.
 
Mtoana wa penati noma sana, usiombe timu yako iwe katika kipindi hiki unless timu yako iwe ndo imesawazisha dakika za lala salama afu mnaingia katika penati tena iwe vs timu kubwa kuliko yako au muwe pungufu ndo unaweza kuangalia mapigo ya penati kwa moyo mzuri ama sivyo utakuwa namba mpya ICU hivi hivi wanakuona.
 
Chile walikuwa wanategemea sana sana penalties ndio maana walikuwa wanarudi nyuma sana.
Extra time ndio walirudi sana nyuma

Hizi dk 30 ni ngumu sana kucheza....fikiria pressure ile ya game dk 90 alafu dk za nyongeza upigwe dk ya 20...ujue wanapaki basi na game inakuwa imeisha.nI Bora kwenda penalties mjue moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…