World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Kama nyie tu,hakuna tofauti
 
Reactions: BAK
ba ghwetu acha tu! Mie hata kucoment hapa JF ilikuwa kazi,nimekumiss wangu tumepotea sana.


Hujanizidi mm nimekumis 100x, majukum yanafanya sometime kumisi mitaa hii ya kukutania. bora tumeshinda

Nadhani leo mzungu wa nne hautakuwepo wangu ni amani tu.
 


Kabla Mashindano hayajaanza mlisema wataishia kwenye makundi, Mkuu hakuna Timu mbovu kwenye hayo Mashindano Ujerumani mbona alisimamishwa na ghana? Mimi nawaona Brazili wanafika Fainali na wanachukua Kombe,
 
Naona wengi wanaipa matumaini Holland sasa natangaza rasmi iwapo Holland ikichukua kombe naomba BAN ya 3 months bila huruma
Naichukia #holland sababu watampa wakati mgumu Neymar kuchukua golden boot
 
Hongereni brazuu mi naenda zangu kulala maana usiku saa hizi ila mmeionaje chile?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…