palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,459
Mkuu MEANDU kuja hapa
mie nipo mbona tele wewe ndiyo haupo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu MEANDU kuja hapa
Vipi kina Baloteli walishatua Rome?
Kama nyie tu,hakuna tofautiHahahahahahaha lol!!!! Hata mie nilikuwa natafakari hilo, ngoja tusubiri waje kujibu wenyewe lol!!!! Eti farkhina, Bantu lady na Victoire mlikuwa mnaminya nini ili Chile wakose penalties zao? lol!!!! Hii experience ya kuangalia kandanda huku umo ndani ya JF bomba sana.
ba ghwetu acha tu! Mie hata kucoment hapa JF ilikuwa kazi,nimekumiss wangu tumepotea sana.
Dah hawa jamaa wameshinda ila chiboko yao Uholanzi..
Brazil hupumua wakiwa na na timu shindani toka mabara mengine, lakini hizi za bara la Amerika wanavyoijua na kuichambua Brazil inashindia bahatai tu. Kumbuka leo Brazil walianza na mfumo wa pasi ndefu ili kuchanganya kasi ya vijana wa Chile, lakini Wachile waliposoma mchoezo huo Brazil wakapoteana. Nguvu ya Brazil ikarudi walipobadilisha mchezo wa kutumia pasi fupifupi ndicho kiliwaletea uhai vinginevyo wangetolea kataka stage ya best 16.
Kumbuka katika makundi Brazil ilitolewa kamasi na Mexico kwa kugawana point, wasipokuwa makini watakuwa watazamaji katika nusu na fainali.
mie nipo mbona tele wewe ndiyo haupo
Kama nyie tu,hakuna tofauti
Subilini muone Mexco wakiondosha Waholanzi,Roben hawazi kuwaachia kombe hawa mbweha!
Hata huko waendapo lazima tu watakutana na wagumu zaidi kwani baada ya hapa watakutana na Uruguay au Colombia wote wanatoka huko chini
Tutajie na majina ya wafungaji kabisa mkuu maana utabiri wako wa 3-0 ni mzito sana
Hahahahahahah lol!!!! Naishia hapa siendelei tena na maswali yangu.
Ndo manake chile bahati hikua yao....mpira brzil ya mwaka huu tukubali tu mpira hawajui
Hongereni brazuu mi naenda zangu kulala maana usiku saa hizi ila mmeionaje chile?
Hongereni brazuu mi naenda zangu kulala maana usiku saa hizi ila mmeionaje chile?