World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

ba ghwetu acha tu! Mie hata kucoment hapa JF ilikuwa kazi,nimekumiss wangu tumepotea sana.


Hujanizidi mm nimekumis 100x, majukum yanafanya sometime kumisi mitaa hii ya kukutania. bora tumeshinda

Nadhani leo mzungu wa nne hautakuwepo wangu ni amani tu.
 
Brazil hupumua wakiwa na na timu shindani toka mabara mengine, lakini hizi za bara la Amerika wanavyoijua na kuichambua Brazil inashindia bahatai tu. Kumbuka leo Brazil walianza na mfumo wa pasi ndefu ili kuchanganya kasi ya vijana wa Chile, lakini Wachile waliposoma mchoezo huo Brazil wakapoteana. Nguvu ya Brazil ikarudi walipobadilisha mchezo wa kutumia pasi fupifupi ndicho kiliwaletea uhai vinginevyo wangetolea kataka stage ya best 16.

Kumbuka katika makundi Brazil ilitolewa kamasi na Mexico kwa kugawana point, wasipokuwa makini watakuwa watazamaji katika nusu na fainali.


Kabla Mashindano hayajaanza mlisema wataishia kwenye makundi, Mkuu hakuna Timu mbovu kwenye hayo Mashindano Ujerumani mbona alisimamishwa na ghana? Mimi nawaona Brazili wanafika Fainali na wanachukua Kombe,
 
Naona wengi wanaipa matumaini Holland sasa natangaza rasmi iwapo Holland ikichukua kombe naomba BAN ya 3 months bila huruma
Naichukia #holland sababu watampa wakati mgumu Neymar kuchukua golden boot
 
Hongereni brazuu mi naenda zangu kulala maana usiku saa hizi ila mmeionaje chile?
 
Back
Top Bottom