Check facts zako...James Rodriguez ana assists 2..
hames rodriguez supra scorer!
accuracy ya hali ya juu. halafu anajua wapi kwa kukaaa wala hafuati mpira
Hahahaha umenichekesha sana mie william alivokosa goli tu kiroho kikapaa sasa basi ikabidi nisimame hadi kumaliza nkarukajeeeer
Watamlaumu Manjino sana
hata wenger amekunwa sana na huyu james rodriguez
Namsifu Cuadrado ambaye hakuwa mchoyo.ilikuwa rahisi kwake kuwa tempted kupiga mpira wavuni wakati mpira ule ulimjia toka direction mbaya,lakini akaupiga kwa kifua kumsukumia Rodriguez aliyekuwa kwenye nafasi nzuri zaidi.mastraika wetu Africa wanalo la kujifunza hapa.
utasikia anamsajili teh teh..hata wenger amekunwa sana na huyu james rodriguez