mzee Chibai
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 980
- 242
Kweli mkuu kama Nigeria wakiweka uzalendo mbele nina uhakika ufaransa hawatishi kiasi cha kutofungwaNigeria wakiacha uhanithi wao wa kuweka posho mbele wanaweza kuwatoa Ufaransa!!
Wanaweza kutolewa hila c kwa kipigo cha aibuMkuu uzalendo kwanza ila itabak ndoto nahisi kutolewa kwa kipigo cha aibu
I'm still proud of Italy.ni ajali ya kung'atwa tuu ilitukuta.ngoja tutafute kocha.huyu Prandeli kachoka
Heaven on Earth na DEMBA teams zenu si zimeisha aga au sasa mmechukua timu mpya ahahahahaha?
2010 WC round ya kwanzaMi pia naipenda italy
Kweli mkuu Brazil ndo mwisho wake umefika...!!Na dua za brazil jana alikua anaomba uruguay apite
maana wale wauza unga huwa hawana habari
ya kuingia kwenye 18 ndio wafunge, wao mashuti tu hata katikati ya dimba.
Mwe!bajeti za clubs za serie a ni mawazo matupu siku hizi mkuu.huyu Rodriguez mwenyewe wakati anatoka kwao ajenti wake alimleta Juve,akawaimbisha wee,Juve wakamkataa.leo hii hatuwezi hata kumtaja jina.life is how you make it.serie a ijiandae kunyang'anywa wachezaji kibao baada ya WC
Mh!wala sibishi mkuu.Brazil hii nzuri ila si outstanding kama zile za nyuma.hii ni average kama ile ya Vanderlei Luxemburgo nayo ilikuwa presha tupu.
Mwe!bajeti za clubs za serie a ni mawazo matupu siku hizi mkuu.huyu Rodriguez mwenyewe wakati anatoka kwao ajenti wake alimleta Juve,akawaimbisha wee,Juve wakamkataa.leo hii hatuwezi hata kumtaja jina.life is how you make it.serie a ijiandae kunyang'anywa wachezaji kibao baada ya WC
Kuwaaga Mexico leo ni huzuni sana kwangu;niliwahi kwenda huko kupiga box ni wakarimu sana!!
kweli mkuu hata wenyewe wanalifahamu hilo jana nilikuwa namsikiliza pele ansema wazi kabisa timu yao ina mapungufu sana