World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Nigeria wakiacha uhanithi wao wa kuweka posho mbele wanaweza kuwatoa Ufaransa!!
Kweli mkuu kama Nigeria wakiweka uzalendo mbele nina uhakika ufaransa hawatishi kiasi cha kutofungwa

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Na dua za brazil jana alikua anaomba uruguay apite
maana wale wauza unga huwa hawana habari
ya kuingia kwenye 18 ndio wafunge, wao mashuti tu hata katikati ya dimba.
 
Greece afadhali wacheze nafasi ya Ivory Coast maana wangepita akina Yaya ni aibu tu ingekuwa
 
Mi pia naipenda italy
2010 WC round ya kwanza
2014 round ya kwanza
2018 likely round ya kwanza too
Nyie jamaa mna roho ngumu kama ya paka!Hamieni USA muongeze siku zenu za kuishi,achaneni na team hizo mzozo
 
Na dua za brazil jana alikua anaomba uruguay apite
maana wale wauza unga huwa hawana habari
ya kuingia kwenye 18 ndio wafunge, wao mashuti tu hata katikati ya dimba.
Kweli mkuu Brazil ndo mwisho wake umefika...!!

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Tulio Dar tupange sehemu ya kwenda ku watch Fainali ya WD!Karibuni sana kwetu Tandika
 
Mwe!bajeti za clubs za serie a ni mawazo matupu siku hizi mkuu.huyu Rodriguez mwenyewe wakati anatoka kwao ajenti wake alimleta Juve,akawaimbisha wee,Juve wakamkataa.leo hii hatuwezi hata kumtaja jina.life is how you make it.serie a ijiandae kunyang'anywa wachezaji kibao baada ya WC

dah hiyo ni kweli mkuu
 
Mh!wala sibishi mkuu.Brazil hii nzuri ila si outstanding kama zile za nyuma.hii ni average kama ile ya Vanderlei Luxemburgo nayo ilikuwa presha tupu.

kweli mkuu hata wenyewe wanalifahamu hilo jana nilikuwa namsikiliza pele ansema wazi kabisa timu yao ina mapungufu sana
 
Hakika uruguay ile dhambi ya suarez kushika goli letu itaendelea kuwatafuna mpaka mtajuata
and
i hate u sanaaaaaaa
 
Mwe!bajeti za clubs za serie a ni mawazo matupu siku hizi mkuu.huyu Rodriguez mwenyewe wakati anatoka kwao ajenti wake alimleta Juve,akawaimbisha wee,Juve wakamkataa.leo hii hatuwezi hata kumtaja jina.life is how you make it.serie a ijiandae kunyang'anywa wachezaji kibao baada ya WC

Dogo ataenda kwa big spenders Real
 
Back
Top Bottom