Sahau mkuu, Hao walikutana na timu mbovu subiri mziki wao leo lazima wakae.!
kama kawa kama dawa, Skype pamoja na mexico kwa saaana tunapata raha
Leo leo leo 2-1 Mexico
Mungu atusaidie Team Holland,kwa kweli mtoano ni noma,maana mshindi na mshindwa lazima apatikaneWe acha tu basi nilikuwa naangalia na marafiki baadaye wakaanza kuniigiza jinsi nilivyokuwa tense wakati wa penalties lol! hahahahahaha nilicheka sana, leo kwa raha zangu. Enjoy the game#TeamNetherlands
mmmmmmmmmmhhh sina hamu naye kabisa jana anasema ningemmaliza na pressure
Leo lazima akae nitakua naye beneath
Leo leo Mekiko win 3-0, 2-1