World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Kichwa chako cha habari umeandika Cooling break halafu unatuuuliza inamaana gani, labda ungeuliza kwanini
 
"Hao Mexico watarukaruka wee... Lakini ushindi unakwenda kwa Wadachi..!" Ukweli mchungu
 
Mexico walikuwa bora zaidi dimbani kwa dakika hizi 45!Holland hawajafanya hata shambulizi moja la maana zaidi ya dubious penalty claim at the of added time!

Shame on them Holland
joto linawabeba wa mexico ila holand wanapita mechi hii
 
View attachment 167870huyu kocha wa mexico ndio anaongoza kwa midadi world cup hii!!!
Huyu Kocha atakuwa alitaka Kuwa Kama Silvester Stallone(Rambo) angezaliwa Tahira nafikiri, mwengine Ana midadi alikuwa wa Chile Sema Huyu wa Mexico usije kukaa karibu yake wakipata goli anaweza kukupa ngumi ya kustukiza.
 
Timu ambayo inatafuta magoli hii world cup yote ni Brazil tu hizi nyingine wanatupotezea muda tu sioni kama wanataka hata kufika mbali wao wanalinda tu goli

Brazil ni hivyo home tu,hawana forward wa kuaminika,wote vimeo tu,9 fred???,lol,walikuwa na bahati xana jana
 
Brazil ni hivyo home tu,hawana forward wa kuaminika,wote vimeo tu,9 fred???,lol,walikuwa na bahati xana jana

Angalia mechi zote Brazil amekuwa akitafuta magoli sana kuliko timu pinzani
 
Naamini #TeamNetherlands tutashinda pamoja na hili joto kupunguza performance ya wacheza. Nisingependa iwe kama jana maguu 12 ya mtu mzima mwenye akili timamu yatumike ili kuamua nani anaendelea na nani anafungasha virago vyake.

Mungu atusaidie Team Holland,kwa kweli mtoano ni noma,maana mshindi na mshindwa lazima apatikane
 
Karibuni kipindi cha mmoja kucheka mwingine kulia kwa uchungu
 
Kipindi cha pili kitakuwa na mabadiliko makubwa.

1.Uhuru wa kucheza walioupata mexico kipindi cha kwanza hawataupata kipindi cha pili

2.Kasi ya mchezo itaongezeka aghalabu kufanya kila timu kusaka ushindi wa kulazimisha

3.Hakuna atakaependa kwenda mtowano wa penati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…