World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

naona kama de Jong alivyotoka mildfield ya uholanzi imedorora kidogo
 
Karibuni Corona, tacos, chalupas, quesadillas, enchiladas, burritos, chiles en nogada, mole poblano, na cabritos!

Go Mexicooooooooooooooooooo!
 
Giovani Dos Santos letting fly from outside the area and finding the bottom corner.
 
Yaani timu inacheza kama ineendesha gari la maiti taratibuuuu Mexico nipigie hawa watu
 
Hiyo ipo kwenye sheria za Fifa
inategemeana na makubaliano ya timu zinazocheza uwanjani zikubaliane
ila haina ulazima
 
Back
Top Bottom