World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Holland wana tabia ya kucheza kwa kutegea na hata mechi na Spain walikuwa nyuma kwa goli mbili kabla ya kurudisha. Kwenye mechi dhidi ya Australia, Holland pia walikuwa nyuma kwa mbili.

Ikiwa watazubaa leo na huku joto likiwasumbua kwani linasimama kwenye 38.8 na sasa wapo nyuma kwa goli moja, basi wanaweza kupoteza hii game.
 
Angalau sasa mchezo umependeza hii ndio nilikuwa nataka we nae uone ilivyo vibaya kufunga goli tano timu kubwa kama Spain
 
yaani Holland wamechoooooooookaaaa!

Ijapokuwa mpira ni dk90 na kwa kuwa chochote kinaweza kutokea lakini kadri ilivyo Holland leo anaondolewa, nilisema jana na leo narudia, Uholanz hana chake!
 
Holland wana tabia ya kucheza kwa kutegea na hata mechi na Spain walikuwa nyuma kwa goli mbili kabla ya kurudisha. Kwenye mechi dhidi ya Australia, Holland pia walikuwa nyuma kwa mbili.

Ikiwa watazubaa leo na huku joto likiwasumbua kwani linasimama kwenye 38.8 na sasa wapo nyuma kwa goli moja, basi wanaweza kupoteza hii game.

Nyuma kwa goli mbili hivi uliangalia hiyo mechi kweli maana mie najua ilikuwa 5-1
 
Holland leo wana tatizo nao la posho nahisi ahahahaha maana sio hawa Holland ninao wajua
 
Viva Mexico!!!!!!!
BrUCudiIcAACvjm.jpg:large
 
LOL Wapenzi wa Man utd angalieni next season defence yenu inavyopelekwa puta na Mexico, DonDonald, Belo, Nzi, Prondo
 
Leo hata wawape sub 11 mpya Holland kafie kwenu huwezi toka mbali uje kuchukua kombe huku haaaa
 
Back
Top Bottom