Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mapema sana kunipa pole
Leo wakitolewa watasingizia joto. Ulaya yote itoke
Ndiyo,Mexico wamezaliwa nalo walishadevelop immunity ndo maana haliwatesi.
hahahaha lol
Wale wa holand humu jf wamepotea ghafla au nao joto limewazidia?
Holland leo wana tatizo nao la posho nahisi ahahahaha maana sio hawa Holland ninao wajua
Huyu Kocha atakuwa alitaka Kuwa Kama Silvester Stallone(Rambo) angezaliwa Tahira nafikiri, mwengine Ana midadi alikuwa wa Chile Sema Huyu wa Mexico usije kukaa karibu yake wakipata goli anaweza kukupa ngumi ya kustukiza.
mkuu si umeona sasa sijuwi ikipigwa filimbi ya mwisho na matokeo yabaki hivi huyu anaweza vua nguo!Wale wa holand humu jf wamepotea ghafla au nao joto limewazidia?
Huyu kipa ni noma sana nikikumbuka siku ile alivyoumiza Brazil sijui itakuwaje tukutane nae semi
Wale wa holand humu jf wamepotea ghafla au nao joto limewazidia?