World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World cup linaboa, wachezaji dhaifu Sana, kuanguka anguka Tu all the time
 
Huyu kipa ni noma sana nikikumbuka siku ile alivyoumiza Brazil sijui itakuwaje tukutane nae semi
 
Huyu Kocha atakuwa alitaka Kuwa Kama Silvester Stallone(Rambo) angezaliwa Tahira nafikiri, mwengine Ana midadi alikuwa wa Chile Sema Huyu wa Mexico usije kukaa karibu yake wakipata goli anaweza kukupa ngumi ya kustukiza.

ImageUploadedByJamiiForums1404062267.658351.jpgmkuu si umeona sasa sijuwi ikipigwa filimbi ya mwisho na matokeo yabaki hivi huyu anaweza vua nguo!
 
Back
Top Bottom