World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Angalia mechi zote Brazil amekuwa akitafuta magoli sana kuliko timu pinzani

Thats obvious,mashabiki wote wale mkuu??,hata kama ingekuwa tz,brazil hawana kikosi sa hivi,sio kama cha mwaka 2002,1998,1994,ki fupi mbele pale butu...
 
Mabeki wa Holland watalaumiwa kwa hilo goli la GDS
 
Huyu dogo santos ni mzuri sana
Kapiga bonge la huti! Dah bye bye uholanzi hiyo.
 
Back
Top Bottom