Lazima wakae mexico leo.
Refa ana chuki binafsi na Holland
Bora Brazil na Chile wangerudia kucheza mechi leo
hahahaaa
Habari mbaya kwa Holland ni kuwa Mexico kuna kipindi watamuingiza Chicharito.
yaaani holland wanabutua tu
Hawa jamaa wanakaba mpka naogopa lool..
Hao mexico ndo wataondoka leo
Wakifungwa Holland naacha kutazama haya mashindano
Wakifungwa Holland naacha kutazama haya mashindano
hahahaha LEO UTAONGEA HADI KILUGHA