World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

​Referee kafuta penalty ya wazi kabisa kwa Holland.
 
Ya leo kali,unamfunga spain goal zote zile alafu unakuwa mtumwa kwa ka-mexico???
 
Beki wa kushoto wa Holland ananikumbusha Djimi Traore beki wa kushoto wa zamani wa Liverpool.
 
kosa lenu team holland mipira mingi haianzia kiungo hivyo kupata goli itawawia vigumu sana
 
Back
Top Bottom