Hiyo ya pili siangalii mtanipa matokeo.
Kosa la Mexico wakijua washamaliza game.....
unabadilika any time huu mchezo hatari sana.
teh teh teh holland kiboko ya brazil to the next step..
Jamani siamini ninachokisoma livescore kwenye simu yangu.hadi dk ya 87 ilikuwa 1-0,nimeupdate scores baada ya dk 3 tu naona 2-1,ikabidi nije kucheki reaction za wadau jf naona daah!hebu acheni utani wakuu,huu mpira ulikuwaje?

Mexico safari njema