World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

We mchezaji kama Robben alivyojitahidi eti watolewe na timu ka mexico.....No isingekuwa Fair ...
Hongera Holland
 
Naam walisahau kama football siku zote huchezwa kwa 90 minutes, sasa imekula kwao....Ila wana team nzuri sana kama wataweza kuwaweka pamoja hawa wacheza kwa miaka mine ijayo basi 2018 wanaweza kufanya maajabu.

Kosa la Mexico wakijua washamaliza game.....
 
Hawa watu wameonewa sana hawakustahili kutoka kwa njia yoyote ile iwe kwa penalt au la sema refa akiamua huwezi pinga
 
Jamani siamini ninachokisoma livescore kwenye simu yangu.hadi dk ya 87 ilikuwa 1-0,nimeupdate scores baada ya dk 3 tu naona 2-1,ikabidi nije kucheki reaction za wadau jf naona daah!hebu acheni utani wakuu,huu mpira ulikuwaje?
 
Kweli mpira ni dakika 90.

BrUOoMTCUAAySzW.jpg:large
 
Mexico wangekuwa na kocha wa calibre ya hata nusu ya Van Gaal wangevuka leo!Unamtoa Dos Santos dakika ya 55 kwa kazi gani?Je hujui hawa Holland wanamjua Dos Santos kwa hiyo wanajipanga 2 kumkaba?Je hujui kuwa ukimtoa unampa nafasi mchezaji mmoja wa Holland aende mbele kuongeza mashambulizi?
 
Jamani siamini ninachokisoma livescore kwenye simu yangu.hadi dk ya 87 ilikuwa 1-0,nimeupdate scores baada ya dk 3 tu naona 2-1,ikabidi nije kucheki reaction za wadau jf naona daah!hebu acheni utani wakuu,huu mpira ulikuwaje?

Ndio hivyo tena #team holland.
 
Jamani siamini ninachokisoma livescore kwenye simu yangu.hadi dk ya 87 ilikuwa 1-0,nimeupdate scores baada ya dk 3 tu naona 2-1,ikabidi nije kucheki reaction za wadau jf naona daah!hebu acheni utani wakuu,huu mpira ulikuwaje?

Tunamshukuru refa katubeba katupa penati ya bure tukawaliza mexico
 
Back
Top Bottom