Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Jamani siamini ninachokisoma livescore kwenye simu yangu.hadi dk ya 87 ilikuwa 1-0,nimeupdate scores baada ya dk 3 tu naona 2-1,ikabidi nije kucheki reaction za wadau jf naona daah!hebu acheni utani wakuu,huu mpira ulikuwaje?
mpira umeisha niambie sasa
umejuaje?
Hawa marefa ni wa kuuawa tu...ma don wa Mexico wamfanyie kazi.
Mngeniona nilivyokuwa nimepiga magoti nasali,utafikiri nina passport ya uholanzi,Mungu saidia
katika post yangu jana #13408 nilisema Holland wakichukua hii ndoo nipigwe BAN miezi 3 bila huruma
Leo nimetangaza Holland wakishinda najipiga BAN hadi robo ianze
Haya tuone kama itawezekana
#teamSantos
#teamMexico
Hahahahahaaa usiniambie ni wivu? penalt mmebebwa. Hamtafika fainali ng'oo
Mdogomdogo hadi fainali
Hawa watu wameonewa sana hawakustahili kutoka kwa njia yoyote ile iwe kwa penalt au la sema refa akiamua huwezi pinga
Mexico wangekuwa na kocha wa calibre ya hata nusu ya Van Gaal wangevuka leo!Unamtoa Dos Santos dakika ya 55 kwa kazi gani?Je hujui hawa Holland wanamjua Dos Santos kwa hiyo wanajipanga 2 kumkaba?Je hujui kuwa ukimtoa unampa nafasi mchezaji mmoja wa Holland aende mbele kuongeza mashambulizi?
Half time bila bila,ngoma inogile hiyo!