World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Jamani siamini ninachokisoma livescore kwenye simu yangu.hadi dk ya 87 ilikuwa 1-0,nimeupdate scores baada ya dk 3 tu naona 2-1,ikabidi nije kucheki reaction za wadau jf naona daah!hebu acheni utani wakuu,huu mpira ulikuwaje?

hahaha we mkuu usinichekeshe sana habari ndio hiyooo. Holland hao
 
Kwa hiyo sala yako tu ya kuwaombea ushindi unastahili kupata passport yao, shuka pale ubalozini na picha ya kuwaombea ushindi lazima watakutunuku kitabu chao lol!!! hahahahaha

Mngeniona nilivyokuwa nimepiga magoti nasali,utafikiri nina passport ya uholanzi,Mungu saidia
 
gamba la chuma ! Mpira dakika 90 ! Meza hayo maneno yako na ukalale mapema leo !!!!!
 
Hahahahahaaa usiniambie ni wivu? penalt mmebebwa. Hamtafika fainali ng'oo

Fainali wanafika,timu possible kukutana nazo ni Costarica,Grece,nusu fainali ni kati ya Belgium,Usa,Argentin,Swiss,Kusema ukweli kati ya hizi timu,hakuna wa kumfunga MDutch
 
Wakati wa wataalamu kubwbwaja..technology hii imewarahisishia kuongopa ongopa..
 
Mexico wangekuwa na kocha wa calibre ya hata nusu ya Van Gaal wangevuka leo!Unamtoa Dos Santos dakika ya 55 kwa kazi gani?Je hujui hawa Holland wanamjua Dos Santos kwa hiyo wanajipanga 2 kumkaba?Je hujui kuwa ukimtoa unampa nafasi mchezaji mmoja wa Holland aende mbele kuongeza mashambulizi?


Kwa mechi ya leo Dos Santos hakutakiwa kutolewa , ila ndio hivyo tena mabadiliko hayo hayakuwasaidia Mexico
 
It ain't over till is over!

BrUQAB8IAAA_chv.jpg:large
 
Back
Top Bottom