Ngoma greece vs costa rica,hata kutabiri ngumu.
m naona inapoteza tu muda
Mkuu timu yangu ilishatoka kitambo, siku hizi nazisapoti tu hizi zilizobaki lakini leo nashangaa matokeo haya yameniumiza sana sijui kwa nini.
Ngoma greece vs costa rica,hata kutabiri ngumu.
Waanze tu kunipa,ila ngoja kesho nitadamkia ubalozini kwao,si ule kama unaenda ubalozi wa Uingereza?Kwa hiyo sala yako tu ya kuwaombea ushindi unastahili kupata passport yao, shuka pale ubalozini na picha ya kuwaombea ushindi lazima watakutunuku kitabu chao lol!!! hahahahaha
Tactics zenyewe kama ndo hizi za Kumnong'oneza Robben ajiangushe ndani ya 18 basi atakuwa bonge la kocha. Holland wameponea chupuchupu mwenyewe unajua. RVP ameshaumia huyo mtegemeeni kurudi december holiday fixtures
Ha ha ha haaah asante sana mkuu.Pole sana Mkuu, kutuliza maumivu meza panadol kisha ulale mapema.
Hapa mie mtazamaji wala sina pressure yoyote ila Costa Rica wazuri na Greece wanajituma sana, nayo inaweza kuwa bomba.
Waanze tu kunipa,ila ngoja kesho nitadamkia ubalozini kwao,si ule kama unaenda ubalozi wa Uingereza?
Aisee yaani ni kweli kabisa,mimi pia Mexico walivyokuwa wanaoongoza kiukweli sikuwa na hamu ya kuangalia match ya pili,hata hamu ya kula ilikwisha,hadi mipango yangu mingine ya kesho niliiona kama haitaenda vile,ila sasa hivi nina nguvu ya ajabu usipime,Pole sana mkuuMkuu timu yangu ilishatoka kitambo, siku hizi nazisapoti tu hizi zilizobaki lakini leo nashangaa matokeo haya yameniumiza sana sijui kwa nini.
Mi ngoja niklale ila hii mechi inaamuliwa kwa penaltFT
Costa rica 2 Greece 1
haha ngoja niendelee kucheki kama nitamuona.. Holland wangefungwa sidhani ka ningekumbuka
mi nimemning'niza mwanangu juu juu hadi wengine wameshangaa
FT
Costa rica 2 Greece 1
ngoja ni kamshtue MH. DUNI HAJI,,,bora ingeingia ZANZIBAR,,,peke yake,, kaongeza na hili "ulain lain