DonDonald tubao twenu 45 EPL kweli hapo hapo Giroud,Ozil,Walcott,Chamberlain,Sagna hahahha!Kweli Campbell atafunga hapo?Aje kwenye free scoring Liverpool
Greece na Costa Rica sitizami sawa na kuwasha tv nikute ligi ya Poland inacheza huo mpira Kama na kunywa chai basi nitasinzia na ki kombe kidondoke Kama Teja. Costa Rica itashinda 2-0 bet!
Tehtehteh kazi kwako sasa itabidi muende Amsterdam mkashibe futari.Mkuu nitake radhi plz..... Mimi kushabikia timu hiyo ni sawa na mimi kusema kwenye mashindano haya mimi ni #TeamSpain
Kama ume-bet umeliwa,wee greece wanaukuta huo,jamaa wao wanalinda tu alafu wanapiga counter
Nipo My ndugu nafurahia ushindi,yaani nimeamini anaecheka mwisho ndo anakuwa kacheka sana,maana machungu yote yale ya mwanzo mwanzo yamefutika
nimeliwaje mpira haujachezwa? hizi ni predictions za jf
Predictions za jf ila ndo mkeka unavyoonekana ulivyoupanga...
usionekane kabisaaaa
Wenger anasubiri vijana wa Ligue 1,kuna yule fullback wa Ivory Coast na Loric Remy
Wenger atamchukuwa mtoto Chicharito na kumfanya next Henry kama sio next Ronaldo de lema.
June 4 ya 2015 au 2016!?
June 4 ya 2015 au 2016!?
mpira umekwisha na Mexico wameondoka walivyo ,hongera kwa yuleNakukubali mkuu!Netherland waliongoza kwa ball possession dhidi ya Mexico 55% kwa 45%!
tunashukuru saaana
Mexico wanaliaje pole zao
huwa sifanyi score cast hata siku moja kwenye bet zangu.