Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
Mtu wangu leo na DEMBA mpo Nigeria?
France mbona wamepanga team dhaifu hivi?Pogba wa nn?Kosc wa nn?
Umeona eeh
nafikiri tunaangalia mechi tofauti mkuu...
mkuu kama ipo ipo tu hata kwa visa ila # team nigeria tunapitaKama macho yangu yatakuwa sahihi goli lililofungwa na nigeria halikuwa offside. Hata picha za repy zimeonyesha hivyo. Lile lilikuwa goli halali kabisa. Kwa mara nyingine uamuzi mbovu unatucost.
Leo wafaransa wanakaa tuu
Nigeria wakishinda leo ni Africa unite,we are the children ot the higher man,Team Nigeria mpo?
nafikiri tunaangalia mechi tofauti mkuu...
Ahmed mussa asipige kona,anaharibu tu kona zote