bora algeria kuliko nigeria..kama ALGRIA na NIGERIA wataweka enough efforts wanashinda hizi game....tofauti ya timu zetu na za hawa wazungu ni grit and determination tu lakini technical ability we are equal or superior to them!!! COME ON ALNIGERIA!!!!
#TeamAfrica
huyo mkaka wa France black ni hatari
huyo mkaka wa France black ni hatari
mmh hebu nitulie kidogo presha juu mashambulizi kwenye goal letu
France anafungika kabisa...
Safi kipa wa France
Giroud kama Fred au joh wa brazil.
Namba 8 wa Frace kwa lugha ya JLW anaitwa kibamia.