World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

kama ALGRIA na NIGERIA wataweka enough efforts wanashinda hizi game....tofauti ya timu zetu na za hawa wazungu ni grit and determination tu lakini technical ability we are equal or superior to them!!! COME ON ALNIGERIA!!!!
#TeamAfrica
bora algeria kuliko nigeria..
 
Uzuri wa nigeria wanacheza open game wana tanda uwanja mzima pemben kati kote wamo ,hapa ndipo wanapo wasumbua france.
 
Nigeria wanapata uzuri kuwa France hawaiingi sana golini kwetu
 
John Obi Mikel anacheza huku issue ya posho ikiwa imemkaa kichwani
 
Back
Top Bottom