Na wamesomea soccer kwenye academies za France,sipati picha wakifika robo fainali,halafu wamfunge France,Ufaransa itanuna maana vijana wamezaliwa na kusomea mpira France
Wajerumani wakifungwa na hii miarabu koko wataniudhi sana. All the best Germany!
Afadhali beki inayoongozwa na MERTSACKER bado inagombania Kombe la Dunia kuliko ile iliyokuwa na garasa (SMALLING) ambalo lisingepata nafasi Nyota Nyekundu SC.
Cc Prondo, DonDonald
Mkuu soma historia ya Arab World uone kama Algeria ni waarab koko au ufute kauli yako!!
Noooo.....tunambiwa summu taswihu (fungeni mtapata afya).....hiyo nguvu ya saumu tu lol
Leo wapo healthy kuliko wakijaza matumbo......summu taswih
Mwenyezi Mungu saidia angalau hawa ALG watufute machozi,tumechoka kuwa kichwa cha mwendawazimu!!
Mwenyezi Mungu saidia angalau hawa ALG watufute machozi,tumechoka kuwa kichwa cha mwendawazimu!!
Germany 0-0 Algeria 42'
Kama Germany hii niliyo iona mechi ya 4 sasa inafikiriwa hata kutwaa ubingwa wa dunia basi soka la dunia hii lina matatizo makubwa sana!Germany hamna kitu kabisa