World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Na wamesomea soccer kwenye academies za France,sipati picha wakifika robo fainali,halafu wamfunge France,Ufaransa itanuna maana vijana wamezaliwa na kusomea mpira France

Wa-Africa hawa nusu waarabu,nusu france kwa kweli soka lao nalikubali....!
 
Mwenyezi Mungu saidia angalau hawa ALG watufute machozi,tumechoka kuwa kichwa cha mwendawazimu!!
 
Afadhali beki inayoongozwa na MERTSACKER bado inagombania Kombe la Dunia kuliko ile iliyokuwa na garasa (SMALLING) ambalo lisingepata nafasi Nyota Nyekundu SC.

Cc Prondo, DonDonald

Kuna mechi moja niliona partnership moja ya Senderos na Djourou ilikuwa ngangari kinoma, ndio inasemekana ni bora kuliko zote so far

Cc RRONDO
 
Last edited by a moderator:
Mkuu soma historia ya Arab World uone kama Algeria ni waarab koko au ufute kauli yako!!

kwani algeria sio waarabu? ni waswahili? unashangaza sana.

kidogo tu Germany tuwatungue hawa waarab. Germany oyeeeeee!
 
Kipa wa jemani anatokea sana mipira algeria wanatakiwa wamsome wamuundie mtego mtamu!
 
huyu commentator kiboko anasema yaani ujerumani na ujanja wote ndiyo wanafanya shambulizi la kwanza na wanashindwa kuweka mpira kibindoni
 
Kuna mechi moja niliona partnership moja ya Senderos na Djourou ilikuwa ngangari kinoma, ndio inasemekana ni bora kuliko zote so far

Cc RRONDO

Mechi moja....sasa jiulize msimu wa ligi una mechi ngapi??huu ulikuwa uchungu mgumu kumeza kwa sisi goonerz!
 
Mwenyezi Mungu saidia angalau hawa ALG watufute machozi,tumechoka kuwa kichwa cha mwendawazimu!!

mkuu, kwani wewe mwarabu? hii miarabu leo lazima ifungashe virago. team Germany oyeeeee!
 
Kama Germany hii niliyo iona mechi ya 4 sasa inafikiriwa hata kutwaa ubingwa wa dunia basi soka la dunia hii lina matatizo makubwa sana!Germany hamna kitu kabisa
 
Wakomae hivyo hivyo hawa Algeria... hawa wajukuu wa Hitler wanafungika kabisa!
 
Algeria hizi nafasi walizopata na kama watapata kipindi cha pili inabidi wazitumie vizuri, vinginevyo itakuwa kama Nigeria yaliyowakuta.
 
Kama Germany hii niliyo iona mechi ya 4 sasa inafikiriwa hata kutwaa ubingwa wa dunia basi soka la dunia hii lina matatizo makubwa sana!Germany hamna kitu kabisa

So far timu ambayo ningependa ichukue ni Colombia...!
 
Back
Top Bottom