Game bado ngumu hii,,,Chile asipokua makini anapigwa goal
mi sitaki watoe draw nataka Chile ashinde sijui unamshabikia nani kati ya hao mkwe!Walishaanza kushangiria maskini offside
Ebana wazungu hasa England walikuwa wanapiga domo kupinga kombe la dunia kupelekwa South Africa 2010 wakalichamba bara letu la Africa, angalia hivi viwanja vya Brazil jinsi pitch yake ilivyo hovyo hovyo kuliko ilivyokuwa South Africa. Sijasikia wazungu wakibwabwaja juu ya hili hadi sasa.
Tim Cahill magoli yake yeye ni ya kichwa tuu
mi sitaki watoe draw nataka Chile ashinde sijui unamshabikia nani kati ya hao mkwe!
lol!najua unataka chile wafungwe ili spain wajiwekee wakati mzuri