Leo hatoki mtu,hata wakienda kwenye matuta nitashuhudia
na hapo wamefunga!!!
Sulemani ana speed kiasi kwamba inabidi golikipa wa ujerumani awe anamuwahi kutokea mipira.hii maana yake beki ya Germany inashindwa kumdhibiti huyu dogo.
Dakika hiz hua naziogopa sana coz mtu akifungwa goli halirudi