World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

nafurahi sana germans wamepewa game leo...akina schwensteiger wanachechemea mara hamstring zinabana at least tutaheshimiana!!!!
#teamafrica
 
Huyu Refa anaua mchezo afu katumwa huyu
Mbona anakuwa kama anachuki na Afrika
 
Ukitaka kujuwa Mjerumani Ana Akili dk 25 wataanza kujiangusha ili Algeria wakasirike waanze ku panic ndio football lazima timu za Africa wajifunze.
 
Bora hata tungetokea kwenye penalt tujue kipa hajui daka na wachezaji hawajui piga penalt
 
Algeria masikini wanaanza kuanguka wenyewe bila Mjerumani kuanza mchezo mchafu hehehe ujerumani washazoea kucheza dk 100 na kitu wengi wao club na Taifa.
 
Algeria wajifunze kuingia hadi ndani ya box la German wanapigia nje haya madude marefu
 
Nafikiri timu za Africa hazina mazoezi ya endurance ya kutosha.angalia mechi nyingi dk za mwisho zinashambuliwa bila wao kutengeneza mashambulizi mengi.pia wanakosa concentration dk hizo kwa sababu hawana endurance,wanachoka,coordination inakuwa kazi.mchezaji akiwa na pumzi na uvumilivu wa kutosha anakuwa comfortable na akili na viungo,zinafanya kazi vizuri

Ukiangalia mechi ya France vs Nigeria, na hii mechi utaona nafasi ambazo Nigeria na Algeria hawakuzitumia vizuri haswa kipindi cha kwanza, wangetumia vizuri, hili suala la kuwa na wasiwasi mwisho wa mchezo lisingekuwepo.
 
algeria wamegangamala hivyo, siamini, wanastahili pongezi hata wakitolewa. naona refa na linesmen wanapendelea ujerumani.
 
Algeria alikuwa na ushindi akauchezea sasa watatafuta mchawi nani
 
Timu Afrika tumejitahidi hadi hapa tulipofika, kuna timu kubwa hazikufika hii hatua, naona sasa ni mwisho wa ushabiki wa timu za Afrika kwa maana ya uzalendo.
Timu Afrika byeeeee!!!
 
Daaah jamani si mpira ujiiingize wenyewe mbona mwatuumiza hivi au hamjui kwetu ni saa saba za usiku?
 
Ukiangalia mechi ya France vs Nigeria, na hii mechi utaona nafasi ambazo Nigeria na Algeria hawakuzitumia vizuri haswa kipindi cha kwanza, wangetumia vizuri, hili suala la kuwa na wasiwasi mwisho wa mchezo lisingekuwepo.
Nigeria kafungwa ubitozi wa Odemwingi na Moses ila Algeria cross mbovu. Kilichobaki Kuwa #TeamColombia .
 
tpaul tumewakimbia jukwaa lenu la siasa kwa kuepuka lugha kama hizi zako!Lkn hadi huku unatufuata?Sisi tupo hapa weeks ya 3 inaenda sasa hatujawahi kuandikia lugha kama zako

Naunga mkono mkuu
 
Last edited by a moderator:
Mbona Algeria wamekuwa wavivu sana jamani shiiit ngoja nisepe sishabikii tena timu za Afrika
 
Back
Top Bottom