World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Huyu jamaaa sisi ndio tuko nyuma afu linalalalalallalallalallalalal jinga sana
 
sulumani nini Huyu enzi zangu magoli madogo naondoka nao goli.
 
Daaaaaaaaaaaaaah shenzi kabisa shenzi kabisa Afrika byeeeeeeeeeeeess hongereni kushiriki
 
Dah ila katika timu za Africa hii Algeria ndio imetupa heshima Africa
 
Wamechoka sana hawa mashujaa!Dakika 120 na kufunga si mchezo jamani
 
Hali ni tete tayari cha pili hichooooo!! Nendeni sasa mkale daku, sisi kazi yetu hapa tumekamilisha! Team Germany!
 
Daaaaaaaaaaaaaah shenzi kabisa shenzi kabisa Afrika byeeeeeeeeeeeess hongereni kushiriki

Teh teh teh....

Timu za Afrika kuzishabikia ni maumivu tu.

Ndo maana mi nashabikia Brasil kwa sababu najua watashinda ubingwa.
 
Ozil 2-0,nikitazama goli hili,naona lack of concentration inayotokana na kuchoka mwili na hivyo coordination,sulemani katupia goli la machozi
 
Kabisa Mkuu, halafu kuna watu wanasema Afrika bado sana, wamejitahidi sana kusema kweli. Kiwango cha mpira wanaoucheza hakina tofauti kubwa na timu nyingi za Bara letu.

mkuu wamefanya kile ambacho watu hawakutegemea
 
Back
Top Bottom