Nafikiri timu za Africa hazina mazoezi ya endurance ya kutosha.angalia mechi nyingi dk za mwisho zinashambuliwa bila wao kutengeneza mashambulizi mengi.pia wanakosa concentration dk hizo kwa sababu hawana endurance,wanachoka,coordination inakuwa kazi.mchezaji akiwa na pumzi na uvumilivu wa kutosha anakuwa comfortable na akili na viungo,zinafanya kazi vizuri
Hiyo ftari sijala nkale daku? Kula pekeo
Nigeria kafungwa ubitozi wa Odemwingi na Moses ila Algeria cross mbovu. Kilichobaki Kuwa #TeamColombia .Ukiangalia mechi ya France vs Nigeria, na hii mechi utaona nafasi ambazo Nigeria na Algeria hawakuzitumia vizuri haswa kipindi cha kwanza, wangetumia vizuri, hili suala la kuwa na wasiwasi mwisho wa mchezo lisingekuwepo.