World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Algeria ni wazuri, lakini Ghana ni wazuri kuliko Algeria ukitathmini mechi walizocheza dhidi ya Ujerumani
 
Mi kamwe huwa sishabikii timu za Afrika kwenye kombe la dunia maana ni maumivu tu.

Ila gemu za Ijumaa, at least on paper, zitakuwa kali.
 
Algeria wanaenda kumkumbatia Manager wao safi sana na wametolewa, wengine timu zengine wakitolewa Kama hivi Manager atashambuliwa kutaanza kudaiwa marupurupu wakati mashabiki wanawauzi.
 
Hahahahahah hamna haiwezekani hapa nafsi yanambia leo ndo mwanzo na mwisho kutizama game.....nsijevunja tv tu lol

No usiache kutizama mechi zilizobakia

Tuunge mkono timu yetu tuweze kuchukua kombe hili
 
bado kuna timu za 'kiafrika' zilizofuzu .. Colombia & France
 
jamaa wameweka heshima hawa wazungu watakuwa na adabu sio kufunga watu 5-0 sasa hivi ngoma inabana hadi dakika za mwisho!!!!!!!

Timu kama Algeria ilikuwa inastahili kabisa kuendelea kuwepo kwenye mashindano haya

Kuna timu Vibonde utashangaa kwanini zimeingia kwenye last 8 .... Timu hizo ni kama France
 
Algeria Leo wakitizama matokeo watajuwa kosa Lao walikuwa cross mbovu ile cross nzuri ndio wamepata goli na Nigeria Leo wakitizama mpira wao wataona Ubitozi wa Odemwingi na Moses ni upuuzi wanacheza mpira Kama hawataki.
 
Hahahahahaha lol!!!! ulitaka kuirukia kungfu lol!!!! 🙂 usiache kuangalia banaaa pamoja na timu za kwetu kutolewa bado kuna mechi nzuri sana zinakuja, nimeingia BBC few minutes ago washabiki wanaweka comments zao kuhusu huu mchezo ulioisha punde tu, wengi wanaisifia sana Algeria.

Hahahahahah hamna haiwezekani hapa nafsi yanambia leo ndo mwanzo na mwisho kutizama game.....nsijevunja tv tu lol
 
Referees wa hizi mechi za leo ni wa kutoka nchi zipi!?
 
Timu kama Algeria ilikuwa inastahili kabisa kuendelea kuwepo kwenye mashindano haya

Kuna timu Vibonde utashangaa kwanini zimeingia kwenye last 8 .... Timu hizo ni kama France
Utapigwa butwaa France itafika fainal,kama 2006 ilifika fainali watu waliidharau,isingekuwa red card aliyopewa Zidane basi fRANCE INGEBEBA KOMBE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…