lazima liweka nadhiri huyu si bure
Kama yule wa Tanzania alivyoazimia kumshika Kaka kipindi Brazil walipokuja Tz.
Sijamuona huyo shabiki. Hivi watu hawajui kila Marekani inapocheza ulinzi unavyokuwa mkali? Unaweza kukuta Meli au ndege yao haipo nje kuwakimbiza katika usalama kama hali itakuwa mbaya
FA ya Cameroon jana wamesema WANAHISI akina Eto'o walichukua rushwa kupoteza mechi zote 3!Badala ya kukubali kuwa wao as management walikuwa mzigo wanaleta visingizio vya ajabu kabisa
Johnson kuumia ni pengo sana kwetu!Hawa Belgium msitishwe na kuruka ruka kwao maana hata Usiws leo au Nigeria jana waliruka ruka hivi hivi
Asante mkuu
Wewe ukiendelea hivyo Guantanamo Bay itakuhusu
Hii mechi timu yeyote inaweza kushinda
USA wana "kijiji chao cha michezo" hapo Rio !Hela inaongea kaka