World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Sijamuona huyo shabiki. Hivi watu hawajui kila Marekani inapocheza ulinzi unavyokuwa mkali? Unaweza kukuta Meli au ndege yao haipo nje kuwakimbiza katika usalama kama hali itakuwa mbaya
 
Johnson kuumia ni pengo sana kwetu!Hawa Belgium msitishwe na kuruka ruka kwao maana hata Usiws leo au Nigeria jana waliruka ruka hivi hivi
 
Watoto wa Obama wamezidiwa, ila wakijitahidi watacheka muda si mrefu,na huyu jirani yetu Origi anakimbiza kweli.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Sijamuona huyo shabiki. Hivi watu hawajui kila Marekani inapocheza ulinzi unavyokuwa mkali? Unaweza kukuta Meli au ndege yao haipo nje kuwakimbiza katika usalama kama hali itakuwa mbaya

USA wana "kijiji chao cha michezo" hapo Rio !Hela inaongea kaka
 
FA ya Cameroon jana wamesema WANAHISI akina Eto'o walichukua rushwa kupoteza mechi zote 3!Badala ya kukubali kuwa wao as management walikuwa mzigo wanaleta visingizio vya ajabu kabisa

Mkuu ndo tatizo la viongozi wa kiafrika. Hawakubali kuwa responsible, hapo tume itaundwa na Paul Biya atamwaga pesa lakini suluhisho halitapatikana, sababu 2018 itakuwa hivyo hivyo.
 
Johnson kuumia ni pengo sana kwetu!Hawa Belgium msitishwe na kuruka ruka kwao maana hata Usiws leo au Nigeria jana waliruka ruka hivi hivi

haya bana nikiiona hii ID nakumbuka kyela, tukuyu bila kusahau pale kiwira kwenye ndizi
 
Tunahitaji twende halftime hatujafungwa,tukirudi tunawachinjilia mbali
 
jaman leo hakuna cooling break?

Hapana DEMBA!Mechi ikichewa sehemu yenye ukanda wa tropical hasa kule Manues au Fortaleza ndiyo kuna cooling break maana kuna joto mno!
Kwingine ni baridi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom