LOL ningekuwa Bar wangenimwagia bia, nimetoka barbershop nkasema nataka wafungwe jamaa wakaanza kunishambulia.
Dah mambo yamebadilika siku hizi mpaka masela wa kwenye barbershop wanapenda soccer
Hivi yule mshikaji wa kule OK sijui na yeye ni #TeamUSA ?
mshindi atacheza na nani?
USA mtaipenda tu mwaka huu!Tunawazuia akina Hazard wasifunge kuwachanganya then tunawapiga dakika za mwishoo
daaah oligi anawakosa kosa hawa jamaa
usa kwan kashapita? au ndio unatabir atapita