World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Wondolowski ndiye katutoa,unakosaje bao kama lile dakika ya 90?
Kudos to Lukaku
 
Its over... Lukaku atachonga sana kwa kuachwa benchi.... Tutawasubiri JFK airport kama sio Miami-dade Airport kesho....


nilongea mwanzoni kuwa kocha alifanya umakini wa hali ya juu kuhakikisha anatunza sub nje endapo wataenda 120 na hivyo kuwa na nguvu mpya. wameshinda timu na siyo yeye peke yake
 
Wanyamwezi walikuwa wafungwe tangu mapema sana! Wamshukuru Howard vinginevyo ingekuwa mvua ya magoli.
 
Belgium walijitayarisha kwa extra,haiwezekani hadi saa hizi wanakimbia hivi
 
Ha Ha Ha unataka kuingilia wizara za Pazi sasa

USA kwanini hawamuingizi Altidore?

Altidore alipull Hamstring vs Ghana unajua mwenyewe Hamstring inavyochukuwa muda kupona kisawa sawa.. Hahaha nilikuwa sijui kama Brussels ni mitaa ya Pazi.
 
Lukaku anamjulia Tim Howard, wanafanya mazoezi kila kukicha Everton. Howard ni mzuri saba kwa kuzuia mipira ya chini .. siyo ya juu.
 
Back
Top Bottom