World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Tatizo unapenda sana mkuu, ukweli wanyamwezi wamezidiwa na hawawezi kushinda hiyo game abadani.
unatakiwa mara nyingine unafutilia flow hii post ilikuwa ni dk 75 nikimaanisha dk 10 za mwisho sasa habari za extra time zinaingia wapi? by the way ungekuwa hapa mwanzo kama wengine hapa amabo tulishajitambilisha tuko timu gani usingeongea hili . kwa ufupi fuatilia tangu mwanzo nipo #teambeligium
 
kama wataendelea kupata nafasi kama hizi hawa Wamarekani watasawazisha
 
Lack of concentration na individual efforts zitatupa matokeo mengine kabisa unexpected hapa
 
Mzee hayupo nyuma.
barry_2956223a.jpg
 
He, wamefufuka bana khee khee khee. Mpira bado haijaisha, wamemuingiza sijui Mrisho Ngasa yule!
 
Ebana hii mechi itakuwa ndo best mechi kuliko ziliwahi kuchezwa kombe la dunia hili
 
Burudani kali dk za mwisho teh teh nimekaa kwenye edge ya kochi wakati kochi kuubwa teh teh
 
Back
Top Bottom