The game is over. tukalale
Wondolowski ndiye katutoa,unakosaje bao kama lile dakika ya 90?
Kudos to Lukaku
unatakiwa mara nyingine unafutilia flow hii post ilikuwa ni dk 75 nikimaanisha dk 10 za mwisho sasa habari za extra time zinaingia wapi? by the way ungekuwa hapa mwanzo kama wengine hapa amabo tulishajitambilisha tuko timu gani usingeongea hili . kwa ufupi fuatilia tangu mwanzo nipo #teambeligiumTatizo unapenda sana mkuu, ukweli wanyamwezi wamezidiwa na hawawezi kushinda hiyo game abadani.
kama wataendelea kupata nafasi kama hizi hawa Wamarekani watasawazisha
Ebana hii mechi itakuwa ndo best mechi kuliko ziliwahi kuchezwa kombe la dunia hili
Hali ya hewa brazili nimesutuka inawatesa sana wachezaji
The game is over. tukalale
Sasa kule Qatar sijui itakuwaje coz nasikia huko joto ni balaa!