Nimefurahi U.S.A kutoka mana wana kelele nyingi nao
Hongera sana ubelgiji.
Kuna rafiki yangu kaniambia yy HAIPENDI USA sababu wana too much mafanikio eti wawaachie wengine sasa mafanikio ya soka! farkhina anasema wana kelele nyingi sana!!
Wengine wanasema USA hawawapendi sababu ni waonezi lkn Akbar rafiki yangu mtu wa Syria yy jana kaniambia HAIPENDI USA sababu imeshindwa kwenda nchini kwao kumtoa Assad!
Kweli mti wenye matunda ndiyo upigwao mawe
Nimefurahi U.S.A kutoka mana wana kelele nyingi nao
Mwisho wa Colombia ni kwa Brazili!Mwisho wa Netherland ni kwa Costarica!!Mwisho wa Ubelgiji ni kwa Argentina!! Mwisho wa Ufaransa ni kwa mkoloni!!
Nusu fainali:Mwisho wa Costarica ni kwa Brazil na mwisho wa Mkoloni ni kwa Argentina
Fainali:Mwisho wa Brazil ni kwa Argentina!!Usiku huo huo wanawasili Buenos Aires na kombe lao kuepuka vurugu kubwa Brazil
....Colombia atakaa kwa brazil,Mdachi atampiga Costa Rica,Belgium atatulia kwa Messi,France atakubali kwa Germany.
Sasa unataka timu ambayo haina kelele? Haya chagua timu yoyote duniani ambayo itakuwa kimyaaaaaaaaaa tu hata wakishinda hawatii hata ukelele mmoja. 🙂🙂
Imeniuma sana kutolewa kwa USA lkn wameionyesha dunia what is USA about!Wamepigana hadi dakika ya mwisho huku Rais Obama na baraza lake wakiwatazama vijana moja kwa moja!!Tutawapokea kishujaa
hahaha farkhina wewe...
Kelele za ushindi ndio ila wale full mashauzi kama harusi iso vyombo lol
Hahahahahaha lol!!!! Si umeona shughuli zao lakini? Mpaka dakika ya 120 Belgium kijasho chembamba kama si makosa ya hapa na pale kwenye goli la Belgium basi saa hizi tungekuwa tunaongea mengine. Harusi isiyo na vyombo inabidi iwe kimya kimya?
Tim Howard's special night ends in disappointment - CNN.com
Weye utakua na hisa huko kwa obama si bure....tuwasubir na kila muller watolewe nao na france
Hapana sina HISA yyt lkn nilisoma manifesto yao jinsi wanavyowekeza kwenye soka mabilion ya dola nikapenda!Kwa kweli hawa watu unaona mabadiliko kila mwaka,hawana mzaha kwenye kuwekeza kwenye michezo