Malafyale
Platinum Member
- Aug 11, 2008
- 13,833
- 11,173
Nimefurahi U.S.A kutoka mana wana kelele nyingi nao
Kuna rafiki yangu kaniambia yy HAIPENDI USA sababu wana too much mafanikio eti wawaachie wengine sasa mafanikio ya soka! farkhina anasema wana kelele nyingi sana!!
Wengine wanasema USA hawawapendi sababu ni waonezi lkn Akbar rafiki yangu mtu wa Syria yy jana kaniambia HAIPENDI USA sababu imeshindwa kwenda nchini kwao kumtoa Assad!
Kweli mti wenye matunda ndiyo upigwao mawe
Last edited by a moderator: