World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Nimefurahi U.S.A kutoka mana wana kelele nyingi nao

Kuna rafiki yangu kaniambia yy HAIPENDI USA sababu wana too much mafanikio eti wawaachie wengine sasa mafanikio ya soka! farkhina anasema wana kelele nyingi sana!!

Wengine wanasema USA hawawapendi sababu ni waonezi lkn Akbar rafiki yangu mtu wa Syria yy jana kaniambia HAIPENDI USA sababu imeshindwa kwenda nchini kwao kumtoa Assad!

Kweli mti wenye matunda ndiyo upigwao mawe
 
Last edited by a moderator:
Hongera sana ubelgiji.

Mwisho wa Colombia ni kwa Brazili!Mwisho wa Netherland ni kwa Costarica!!Mwisho wa Ubelgiji ni kwa Argentina!! Mwisho wa Ufaransa ni kwa mkoloni!!

Nusu fainali:Mwisho wa Costarica ni kwa Brazil na mwisho wa Mkoloni ni kwa Argentina

Fainali:Mwisho wa Brazil ni kwa Argentina!!Usiku huo huo wanawasili Buenos Aires na kombe lao kuepuka vurugu kubwa Brazil
 
Mie siwapendi watu wenye kupenda misifa basi hao U.S.A hizo kelele zao utafkir wamepata kombe lol kumbe belgium wamewatupa kule wakomeee....

TEAMbrazil
 
....Colombia atakaa kwa brazil,Mdachi atampiga Costa Rica,Belgium atatulia kwa Messi,France atakubali kwa Germany.
 
Imeniuma sana kutolewa kwa USA lkn wameionyesha dunia what is USA about!Wamepigana hadi dakika ya mwisho huku Rais Obama na baraza lake wakiwatazama vijana moja kwa moja!!Tutawapokea kishujaa
 
Mdachi huyu aliyetepeta kwa Mexico hadi kupita kwa penati ya"msukule"?Hamna mechi itakayokuwa rahisi kwenye robo fainali kama ya Costarica na Mdachi hasa alipoumia De Jong!

Joe Campbell hawaachi hawa wachovu
 
Mie siwapendi watu wenye kupenda misifa basi hao U.S.A hizo kelele zao utafkir wamepata kombe lol kumbe belgium wamewatupa kule wakomeee....

TEAMbrazil

Ahahahahaha mafanikio yao kwenye sekta nyingine yanaiponza sana USA soccer team!!
 
Sasa unataka timu ambayo haina kelele? Haya chagua timu yoyote duniani ambayo itakuwa kimyaaaaaaaaaa tu hata wakishinda hawatii hata ukelele mmoja. 🙂🙂

Kelele za ushindi ndio ila wale full mashauzi kama harusi iso vyombo lol
 
Imeniuma sana kutolewa kwa USA lkn wameionyesha dunia what is USA about!Wamepigana hadi dakika ya mwisho huku Rais Obama na baraza lake wakiwatazama vijana moja kwa moja!!Tutawapokea kishujaa

Weye utakua na hisa huko kwa obama si bure....tuwasubir na kila muller watolewe nao na france
 
Hahahahahaha lol!!!! Si umeona shughuli zao lakini? Mpaka dakika ya 120 Belgium kijasho chembamba kama si makosa ya hapa na pale kwenye goli la Belgium basi saa hizi tungekuwa tunaongea mengine. Harusi isiyo na vyombo inabidi iwe kimya kimya?

Tim Howard's special night ends in disappointment - CNN.com

Eeeeh itabidi iwe kimyaaa mana biharusi atakua na upishi wa aina moja tu? (Eeeeh hebu mie kumbe ramadhan nsije kutukana bure lol)
 
  • Thanks
Reactions: BAK
2018 USA will be very strong!!Wont be easy for any team I say again for any team to knock out USA @ Russia !!Mark my words prematurely
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Weye utakua na hisa huko kwa obama si bure....tuwasubir na kila muller watolewe nao na france

Hapana sina HISA yyt lkn nilisoma manifesto yao jinsi wanavyowekeza kwenye soka mabilion ya dola nikapenda!Kwa kweli hawa watu unaona mabadiliko kila mwaka,hawana mzaha kwenye kuwekeza kwenye michezo
 
Julian Green, 19, became the youngest World Cup goal-
scorer since Lionel Messi in 2006 and the eighth-
youngest player to ever score in the World Cup.
 
USA haiko mbali kuvuna investments kubwa wanazofanya kila mwaka katika real football.

Back
Top Bottom