World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

JamiiForums uja update matokeo siku nyingi bana kiongozi wengine mechi za usiku mtihan
weka mambo sawa
 
Last edited by a moderator:
JamiiForums uja update matokeo siku nyingi bana kiongozi wengine mechi za usiku mtihan
weka mambo sawa
Aza kama upo Dar naomba uniukaribishe iftari nije kufturu maana hamna yyt rafiki yangu aliyenikaribisha!Nikaribisheni nije na udhu mpate thawabu bana!
Nipo Tandika Mabatini
 
Last edited by a moderator:

Colombia angekuwepo FALCAO mwaka huu ubingwa wao kiurahisi kabisa!
Falcao acheze 9,namba 10 angecheza James Rodrigruez na 8 angesimama Cuadrado,winga 2 ambazo zingecheza kama mido angekuwepo Ruiz na Jackson Martinez!Beki kama Zuniga na kiungo Zapata wasingekabika hawa watu
 
hata hivyo huu ni mwezi mtukufu hiyo " zaidi ya hapo" haiwezi kuwepo bila shaka...lol!!

Ahahaha DEMBA mwezi huu wana ndoa tu ndiyo wanaruhusiwa baada ya kufuturu tena inasisitizwa iwe kabla ya kwenda tarawei!
 
Last edited by a moderator:

Mimi ndiyo maana nasema Afrika tuko juuuuuu!!!! ni mafisadi wachache tu wanatukwamisha,halafu huo msemo wenu wa kusema "miafrika ndivyo tulivyo" muache kabisaaaa, embu tuanze kujikubali kwanza sisi wenyewe ndipo na dunia itatukubali,tusipojipenda sisi wenyewe hata dunia haitatukubali na kila siku tutashindwa, jamani eee Mimi kama Mwafrika najikubali sana na soka tunaweza haswaaa!!!!!
 
Jamani ina maana Brazil yeye hatashinda? Basi kesho anashinda najiwekea Bounty ya BAN ya wiki kama ikitokea Brazil akatolewa kesho ndani ya dakika 90
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…