World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

The Uruguay Football Association have lodged an appeal against Luis Suarez’s 4 month ban for biting Italian defender Giorgio Chiellini
 
Fifa WC 2014 Itakumbukwa kwa aibu kubwa....Wawakilisha wa Afrika hasa kwa kutojua au kutothamini dhamana na jukumu walilopewa...Inasikitisha kuona wachezaji hawa hawa wanacheza kwa nidhamu na bidii katika vilabu vyao...kitu ambacho kinanishawishi nikubali kuwa tatizo ni Uongozi zaidi kuliko wachezaji.

1)Viongozi na wachezaji kuvutana kwa sababu ya pesa kiasi cha kufikia kususia mazoezi
2)
Utovu wa nidhani kwa wachezaji na viongozi kufikia hatua ya kupigana wenyewe kwa wenyewe
3)Kashfa ya rushwa kwa Cameroon


 
Last edited by a moderator:
Mimi ndiyo maana nasema Afrika tuko juuuuuu!!!! ni mafisadi wachache tu wanatukwamisha,halafu huo msemo wenu wa kusema "miafrika ndivyo tulivyo" muache kabisaaaa, embu tuanze kujikubali kwanza sisi wenyewe ndipo na dunia itatukubali,tusipojipenda sisi wenyewe hata dunia haitatukubali na kila siku tutashindwa, jamani eee Mimi kama Mwafrika najikubali sana na soka tunaweza haswaaa!!!!!

Najikubali kuwa muafrika ila nipo kwenye mipango ya kuhama Africa, bakini na mafisadi wenu
 
There is a possibility to reduce Suarez's punishment to 2 months and it seems that next season he'll be playing for Barcelona instead of Liverpool.

The Uruguay Football Association have lodged an appeal against Luis Suarez's 4 month ban for biting Italian defender Giorgio Chiellini
 
Kuna mtu hapa kasema Colombia wakiwatoa Brazil anajipiga ban miezi 6!!

Tutamkumbusha kesho saa 7 usiku

brazil wanateseka sana, overpass zao zimebomoka walizijenga kimasikini kwa kulazimishia wakati hawana pesa za kutosha. wafanyakazi wa serikali hawajalipwa mishahara miezi kibao.
Ni heri brazil iendelee kubebwa, ikitolewa itakuwa balaa mitaani.

Y! SPORTS
 
No Gaucho No Football...
No Italy No World Cup...

Annuit coeptis norvo Gang Chomba

Teeh teeh teeeeh...!!
Kocha wa Brazil anasema kinachoisumbua timu yake ni kukosa uzoefu sijui wakati anachagua timu akulitambua hilo? Kwa mtazamo wangu Gaucho, Kaka na Rhobinho walitakiwa kuwemo kikosini.
 
Belo Horizonte kumetokea janga....watu wawili wamekufa na wengne 19 wamejeruhiwa!!!

bus_3167567.jpg
 
Last edited by a moderator:
There is a possibility to reduce Suarez's punishment to 2 months and it seems that next season he'll be playing for Barcelona instead of Liverpool.

Kuna team inamtaka pamoja na fujo zake zote hizi?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Neymar: Brazil's showdown against Colombia is not about me and James
 
Back
Top Bottom